Habari za Punde

*MDAU ISSA KWISA AKIENDELEZA LIBENEKE LA MRADI PORI KWA PORI

Aliyekuwa mpiga picha na mwandishi wa habari wa kituo cha Star Tv, Issa Kwissa, akikata mbuga kuwaongoza wadau wake wakati akiwaongoza katika kurekodi vipindi vya mradi unaotarajia kukamilika hivi karibuni.
Hapa ni wakati wakiongozana kuingia katika pori fulani hivi.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.