Habari za Punde

*MSHKAJI AMEZIMIKA BAADA YA KUNYWA CHUPA 5 ZA KONYAGI

Wasamaliawema wakimhudumia na kumkejeli mshkaji ambaye hakuweza kufahamika jina lake, aliyezimika ghafla baada ya kudaiwa kunywa jumla ya chupa 5 za pombe aina ya Konyagi wakati akisherehekea tamasha la Mitikisiko lililofanyika kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa jana.
Mwimbaji wa miondoko ya Taarab, Aboubakar a.k.a mtoto wa Mfalme akiimba na kuwapagawisha mashabiki wa miondoko hiyo jukwaani wakati wa Tamasha la Mitikisiko mjini Iringa.
Waimbaji wa taarab wakiwa jukwaani.
Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa uwanja wa samora wakiendelea kuburudika na Mtikisiko 2010 ,
Wadau wa Mitikisiko wakipozi kwa picha.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.