Habari za Punde

*CCM YAMTEUA NDUGAI KUWANIA KITI CHA NAIBU SPIKA

Job Ndugai pichani ambaye leo ameteuliwa na CCM kuwani Kiti cha Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo sasa atachuana na Mbunge wa Mburu kwa tikite ya CHADEMA, Mustafa Akonaay.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.