Habari za Punde

*RAIS JAKAYA ATOA ZAWADI YA SIKUKUU YA EID-EL HAJI KWA YATIMA

Msaidizi wa Rais, Kassim Mtawa akimkabidhi zawadi ya mbuzi mkuu wa kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Msimbazi Sr.Yusta Mhumbila, wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salam leo mchana. Zawadi hizo zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, ikiwa ni maalum kwa ajili ya Vituo vya kulelea watoto waishio katika mazingira magumu (Yatima) na wazee wasiojiweza ili kuwafanya kuwa sehemu ya watanzania wote kusherehekea Sikukuu ya Eid El-Haji, inayotazamiwa kuwa kesho ama keshokutwa. Picha na Freddy Maro-Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.