Habari za Punde

*BOZI BOZIANA, TWANGA KUANZA KUFANYA MAONYESHO DAR

Mkurugenzi wa African Stars 'Twanga Pepeta', Asha Baraka akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu maonyesho ya mwanamuziki kutoka Kongo, Bozi Boziana atakayefanya maonyesho ya pamoja na bendi ya Twanga katika kumbi mbalimbali za jijini.
Wanenguaji wa Twanga wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na maonysho hayo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.