Habari za Punde

*MIUNDOMBINU MIBOVU KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM NI UCHAFU K

Dimbwi la maji machafu yanayotoa harufu mbaya na kusababisha usumbufu kwa wapitanjia katika eneo hilo la Barabara ya Azikiwe Posta Mpya jijini Dar es Salaam, yakiwa yametuama bila kufanyiwa utaratibu wa kuondolewa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.