Habari za Punde

*MAANDAMANO YASIYO RASMI

Waendesha pikipiki wakiandamana katika barabara ya Kawawa eneo la Kinondoni Dar es Salaam. Haikuweza kufahamika lengo la maandamano hayo, ambapo walikuwa wakifuatana na Gari aina ya Defender.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.