Habari za Punde

*CHILIGATI AKABIDHI OFISI RASMI KWA TIBAIJUKA

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, John Chiligati (kushoto) akimkabidhi nyaraka mbalimbali za ofisi, Waziri mwenye dhamana hiyo, Prof. Anna Tibaijuka, wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika jana. Tibaijuka alikuwa akiingia ofisini hapo kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa mwishoni mwa wiki. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Patrick Rutabanzibwa. Picha na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.