Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Faheem Rasheed Najim 'T pain', akishambulia jukwaa wakati wa Tamasha maalum la STR8 Muzik Festival Inter-College, lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Posta Kijitonyama Dar es Salaam. 
MwanamuzikiMims, akiwapagawisha mashabiki wa muziki wakati wa Tamasha hilo.

Mashabiki wa muziki wakipagawa na miondoko ya wasanii waliokuwa wakitoa burudani jukwaani wakati wa Tamasha hilo.

Mcheza shoo wa T-Pain, akishambulia jukwaa.

Kina dada nao hawakuwa nyuma kuburudika na miondoko ya muziki wa Hipo Hop.

Ilikuwa ni shangwe tuuuuu mpaka baaaasi.

Mashabiki wakipagawa na miondoko ya muziki wa T-Pain.
No comments:
Post a Comment