Habari za Punde

*KILIMANJARO STARS YAANZA VINAYA MICHUANO YA TUSKER CHALLENGE

Rais Jakaya Kikwete, akipiga mpira ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi michuano ya CECAFA Tusker Challenge Cup, iliyoanza jijini Dar es Salaam leo jioni katika Uwanja wa Taifa kati ya Timu ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania na Zambia, Kilimanjrao imefungwa bao 1-0.
Kiungo mshambuliaji wa Kilimanjaro, Mrisho Ngasa akimnyanyasa beki wa Zambia wakati wa mchezo huo.
Mohamed Banka (kulia) akiwapoteza maboya mabeki wa Zambia.
Mabeki wa Zambia wakimkaba wawili wawili mshambuliaji wa Kilimanjaro, Gaudence Mwaikimba.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.