Habari za Punde

*GARI YA NYAMA YATUMBUKIA BAHARINI DEREVA AFARIKI PAPO HAPO

Gari lenye namba za usajiri T 191 AAY, linalofanya kazi ya kusambaza nyama, likiwa limetumbukia kwenye ukingo wa egesho la kivuko Kigamboni, baada ya gari hilo kuchelewa kuingia ndani ya kivuko na kukosa breki. Imeelezwa na mashuhuda wa ajali hiyo kuwa dereva wa gari hilo alipoteza maisha papo hapo.
Wananchi wa Kigamboni wakishuhudia ajali hiyo.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.