Habari za Punde

*JK AZINDUA airtel NA KUIZIKA ZAIN

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi wa kampuni mpya ya simu za mikononi ya Airtel, Sam Elangallor, wakionesha nembo mpya ya Kampuni hiyo baada ya kubadilishwa kutoka Zain na kuwa Airtel, wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni. Picha na Freddy Maro




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.