Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Juma Mkambi wakati wakielekea katika maziko yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Soka Nchini TFF, Leodger Tenga, (katikati) akiwa ni miongoni mwa watu waliohidhulia maziko ya Juma Mkambi leo.
Wananchi waliojitokeza katika maziko ya Juma Mkambi wakiwa katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment