Habari za Punde

*SADC YAZINDUA JENGO JIPYA LA MAKAO MAKUU YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

Mwenyekiti wa Jumuia ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Namibia, Ifikepunye Phohamba, wakisoma maandishi yaliyoandikwa katika jiwe la msingi baada ya uzinduzi wa Makao makuu ya Jumuia ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika muda mfupi baada ya kufanya uzinduzi huo wa jengo hilo mwishoni mwa wiki mjini Gaborone,Botswana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.