Habari za Punde

*JUMUIYA YA SIGARA BUILDING YAPANGA MIKAKATI YA KUWADHIBITI WAVAMIZI WA MAENEO YAO-KELEGE

Katibu Mkuu wa Umoja wa Jumuiya Sigara Building Society, Zubeir Zayumba (wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa baadhi ya wanachama wa chama hicho wakati walipofika katika eneo la viwanja vyao lililopo Kijiji cha Mapinga na Kelege Wilaya ya Bagamoyo kwa ajili ya kujadili kuhusu wavamizi waliovamia viwanja vyao na kuanza kuuza kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.