Habari za Punde

*KILIMANJARO STARS YAICHAPA HARAMBEE STARS YA KENYA BAO 1-0

Mshambuliaji wa Timu ya Kilimanjaro Stars, Thomas Ulimwengu, akiruka kwanja la beki wa Harambee Stars ya Kenya, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo jioni. Kilimanjaro Stars imeshinda bao 1-0, bao lililofungwa na Gaudence Mwaikimba dakika za kwanza za mchezo kipindi cha kwanza na kudumu hadi mwisho wa mchezo hu.

Winga wa timu ya Kilimanjaro Stars, Salum Machaku (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Harambee Stars ya Kenya, Ibahim Shikanda, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.Mrisho Ngasa wa Kilimanjaro Stars (kushoto) akimhadaa beki wa Harambee Stars.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.