Habari za Punde

*KILIMANJARO STARS YAICHAPA SOMALIA 3-0

Kiungo mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Henry Joseph (kushoto) akimtoka beki wa Somalia, wakati wa mchezo wa challenge uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo, ambapo Kili imeshida mabao 3-0, huku goli la kwanza likiwekwa kimiani na Henry Joseph kwa njia ya penati, la pili likifungwa na John Boko na latatu likifunga na Nurdin Bakar baada ya krosi nzuri iliyopigwa na Mrisho Ngasa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.