Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS AKUTANA WAZIRI WAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mawaziri wa Ofisi yake wakati Mawaziri hao walipokwenda Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kujitambulisha rasmi. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Teresya Luoga Hovisa (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais Muungano, Samia Hassan Suluhu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.