Habari za Punde

*KONGAMANO LA UONGOZI KUFANYIKA DAR NOV 26-27

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano la Uongozi, ‘Global Leadership Summit’, Peter Mitimingi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kongamano hilo la siku mbili, linalotarajiwa kuanza Novemba 26-27, litakalowashirikisha viongozi wa siasa, dini, wanafunzi wa vyuo vikuu, wafanyabiashara na waandishi wa habari, litakalofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Aliece Hendricks.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.