Habari za Punde

*UZINDUZI WA CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP

Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Caroline Ndungu (wapili kulia) akimkabidhi Kombe, Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania, Kanal Idd Kipingu, wakati wa makabidhiano ya Kombe hilo litakaloshindaniwa katika mashindao ya CECAFA Tusker Challenge Cup, yanayotarajia kuanza Nov 27 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye (kulia) ni Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Serengeti, Teddy Mapunda.
Kombe la Tusker Challenge 2010
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Caroline Ndungu, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.