Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI BARAZA LA EID DAR

EID EL-HAJJ NJEMAMakamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Temeke,Chiku Galawa wakati akitoka katika Ibada ya Eid El-Hajj na Baraza la Eid iliyofanyika katika Msikiti wa Simbambali Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (wapili kulia) akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Ibada ya Eid El-Hajj na Baraza la Eid, iliyofanyika kwenye Msikiti wa Simbambali uliopo Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Issa Farhani (kulia) ni Kaimu Mufti Ismail Habib.

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na waumini wa dini ya kiislamu waliojumuika naye katika swala ya Eid El Hajj na Baraza la Eid katika Msikiti wa Simbambali uliopo Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo.






No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.