Habari za Punde

*TANZANIA YAVUTIA MAONYESHO YA UTALII NCHINI CANADA

Banda la Tanzania kwenye maonyesho ya utalii

yaliyofanyika mjini Montreal, Canada hivi karibuni.

Mwakilishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Steven Lelo Mallya, akihojiwa na waandishi wa habari wa Shirika la habari la FUTURMEDIA la Montreal. Waandishi hao walitaka kujua mikakati ya NCAA ya kutangaza vivutio vya Tanzania nchini Canada.
Balozi wa Tanzania nchini Canada Mh. Alex C Massinda akihojiwa na waandishi wa habari wa Shirika la FUTURMEDIA la Montreal.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alex C Massinda (watatu kulia) akiwa na baadhi ya washiriki maonyesho ya Biashara ya Utalii kutoka Tanzania yaliyofanyika Montreal Canada hivi karibuni.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.