Habari za Punde

*MDOSI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA KUTOKA GHOROFA YA TATU DAR

Wasamaria wema wakiondoa mwili wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Ukaguzi wa Mahesabu, aliyetambulika kwa jina la Mayur Patel (60), aliyeanguka kutoka ghorofa ya tatu katika jego la New Red Cross, lililopo Barabara ya Bibi Titi, jijini Dar es Salaam leo. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.