Habari za Punde

*TAASISI YA SAFE POINT YAZINDUA KAMPENI YA MATUMIZI YA SINDANO

Balozi wa kupunguza gharama za matibabu nchini kutoka Taasisi ya Safe Point Trust, Emanuel Mgaya (Dk. Mgosi Masanja) akiwaonyesha waandishi wa habari matumizi sahihi ya sindano wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya ‘Matumizi ya Sindano na kupunguza gharama za matibabu’. Alisema kuwa ili kuzuia maambukizi ya magonjwa kwa wengine, sindano hiyo inastahili kuvunjwa na kutupwa baada ya kutumika. Uzinduzi huo ulifanyika Jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mabalozi wa taasisi hiyo, Catherine English na Anna Koska.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.