Habari za Punde

*TANZANIA NA SWEDEN ZASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana
hati ya makubaliano na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Maendeleo na Balozi wa Sweden
Erik Korsgen nchini ikiwa ni sehemu ya Ubalozi huo wa Sweden kuchangia jumla ya shilingi bilioni 44 kwa ajili ya kusambaza umeme vijijini. Makubaliano hayo yalifikiwa leo jijini Dar es Salaam. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.