Habari za Punde

*MISS TANZANIA 2010 GENEVIEVE ALIPOWASILI NCHINI JANA

Miss Tanzania 2010, Genevieve Emanuel, akiwa na furaha wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwlimu J.K.Nyerere jana akitokea nchini China, alikokwenda kushiriki mashindano ya Dunia.
Miss Tanzania Genevieve Emanuel, akilakiwa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa Mwlimu J.K.Nyerere jana.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.