Habari za Punde

*WALAJI WA NYAMA HAPA AFYA IPO KWELI?

Mfanyabiashara wa nyama aliyejitambulisha kwa jina moja la Hamis, akipita katika mitaa ya Darajani na pande la nyama ya Ng’ombe wakati akipeleka kuuza katika Bucha lake kwenye Soko Kuu la mjini Zanzibar leo mchana. Ubebaji kama huu ni hatari kwa afya za watumiaji wa nyama hii, je? mabwana Afya mnaruhusu ubebaji huu?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.