Habari za Punde

*MIUNDOMBINU MIBOVU KATIKATI YA JIJI JE VIONGOZI WAPO?

Magari yakipita kwa taabu katika barabara ya Mtaa wa Upanga jijini Dar es Salaam leo kutokana na barabara hiyo kuwa finyu baada ya kujaa maji machafu yanayotoka katika chemba zilizofurika za maeneo hayo, jambo ambalo minasababisha usumbufu kwa wakazi na wapitanjia katika maeneo hayo.
Gari likikatika katika maji hayo kuingia getini ambapo geti hilo limezingilwa na maji hayo machafu yanayotoa harufu mbaya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.