Habari za Punde

*MKOA WA SHINYANGA WAIBUKA MSHINDI MASHINDANO YA VODACOM MWANZA CYCLE CHALLENGE


Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude (kushoto) na Ofisa Habari wa kampuni hiyo, Matina G. Nkurlu, wakiwavalisha namba za ushiriki wa mashindano ya Vodacom Mwanza cycle Challenge kwa upande wa wanawake walemavu kabla ya mashindano hayo kuanza, jana ambapo mkoa wa Shinyanga umeibuka na washindi wengi katika mashindano hayo.Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Said Ally Amanzi, akiinua bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa walemavu.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.