Habari za Punde

*ROLI LAACHA NJIA NA KUGONGA NYUMBA BUNJU

Mmoja kati ya watu waliokuwamo katika Roli lenye namba za usajiri T 792 ACT, akitoka ndani ya gari hilo lililokuwa limebeba mifuko ya Cement na kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Bunju A kwa Jumbe leo mchana baada ya kupasuka tairi la mbele. Katika ajali hiyo hakuna aliyeumia.
Wananchi wa maeneo hayo wakishuhudia tukio hilo.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.