Habari za Punde

*WABUNGE WAPONGEZANA BAADA YA KUAPISHWA DODOMA

Wabunge wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakifurahia kwa pamoja na ndugu na jamaa zao katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma baada ya kuapishwa.
Mbunge Christopher Chiiza akiongozana na nduguze wakimuimbi na kufurahi baada ya kuapishwa.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.