Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE DODOMA LEO

Rais Jakaya Kikwete akilihutubia Bunge mjini Dodoma leo, wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Bunge. Katikati ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal na Kushoto ni Spika wa Bunge, Anne Makinda.
Wabunge wa CHADEMA wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakati Rais Jakaya alipoanza kulihutubia Bunge. Haikuweza kufahamika chanzo cha wabunge hao kuchukua hatua hiyo na kwenda katika ukumbi wa nje na kuanza Kikao chao.
"TWASUSA BUNGE NA JAKAYA,! LAKINI POSHO, HATUSUSI NG'O!"
Wabunge wa Chadema wakiendelea kutoka Ukumbini wakati Rais alipoanza kuhutubia, jambo ambalo lilimfanya Rais kusita kuanza hotuba yake.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.