Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE APONGEZANA NA MREMA

"Hongera saaaana Mseee, kwa ushindi tuserebuke tu sasa"!..Mwenyekiti wa CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete, akicheza muziki wa taarab na Mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mbunge wa Vunjo, Agustine Mrema, wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge iliyofanyika katika viwanja vya bunge mjini Dodoma hivi karibuni. Kuliani ni Mkurugenzi wa Jahazi Taarab, Mzee Yusuph. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.