Habari za Punde

*RAIS MSTAAFU ATETA JAMBO NA KADA WA CCM, KUNANI?

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akiteta jambo na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Rajab Mwilima, wakati wa hafla ya kuapishwa Waziri mkuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.