Habari za Punde

*SHY-ROSE BHANJI NA KIVAZI CHA MTEGO-IKULU

Aliyekuwa mgombea Ubunge na kushindwa katika kura za maoni Jimbo la Kinondoni, Shy-Rose Bhanji, akiwa na vazi la Kihindi linaloonyesha sehemu ya mwili wake, akiwa ni miongoni mwa wageni waalikwakatika sherehe ya kuwapongeza Rais Jakaya Kikwete na makamu wake, Dk Bilal, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Vazi hili ama kwa hakika liliwaacha watu hoi na wengi wao wakibaki na maswali kuwa je. amewezaje kupita getini bila kuulizwa na walinzi juu ya kivazi hicho ama kuzuiliwa kutoingia kabisa? Je alipita geti gani kuingia na kujumuika na waheshimiwa? na Je kama angelikuwa mwananchi wa kawaida tu angeweza kupita getini na vazi kama hili bila kusumbuliwa?
"HE MWENZETU UMEPITA GETI LIPI KUINGIA HAPA NA VAZI HILI?"
Mbunge wa Viti Maalum wa mkoa wa Dar es Salaam, Asha baraka, akisalimiana na Shy-rose, huku akumshangaa na kumuuliza swali kuwa amepitia geti gani kuingia katika viwanja hivyo vya Ikulu?


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.