Habari za Punde

*SPIKA SITTA ALIPOAPISHWA NA NAIBU WAKE-ANNA MAKINDA LEO

Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta akiapishwa na aliyekuwa Naibu wake Anna Makinda, ambaye leo ameshinda kinyang'anyiro cha kuwania Kiti hicho cha Spika na kutangzwa rasmi kuwa Spika wa Bunge kwa kipindi cha miaka mitano. Samuel Sitta sasa atakuwa akiwajibika kwa zaidi katika Jimbo lake la Urambo Mashariki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.