Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE APONGEZWA KWA JOGOO

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya Jogoo aliyopewa na wazazi wa kijana Abbas Maluka waishio katika kijiji cha Nangalu Lindi Vijijini, anayesoma mwaka wa kwanza katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambaye anasaidiwa kulipiwa ada na Mama Salma kutokana na wazazi wa kijana huyo kutokuwa na uwezo kifedha wa kumsomesha kijana wao. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za WAMA jijini Dar es Salaam leo mchana. PICHA NA JOHN LUKUWI-MAELEZO



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.