Habari za Punde

*CHADEMA WATEUA SAFU YA VIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI

Mkurugenzi wa masuala ya Bunge na Halmashauri wa Chama cha CHADEMA, John Mrema, akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma leo mchana, wakati akitangaza safu ya viongozi Kambi ya Upinzani Bungeni walioteuliwa baada ya Kikao chao kumalizika leo, ambapo alimtaja Freeman Mbowe kuteuliwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na kusaidiwa na Naibu wake, Kabwe Zitto na Tundulisu akiteuliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Kambi hiyo Bungeni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Organaization na Mafunzo wa Chadema, Singo Benson.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.