Habari za Punde

*TUMEKUBALI MATOKEO-CCM

Meneja wa Kampeni wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mchana kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu uliofanyika Okt 31, ambapo alisema kuwa wao kama CCM wamekubaliana na matokeo yote yaliyokwishatangazwa na kuongeza kuwa wanajipanga upya na kujiandaa kutofanya makosa tena katika chaguzi zijazo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.