Habari za Punde

*UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI-SADC

Waziri wa Mambo ya nje wa Zambia, Kabinga J. Pande ambaye pia ni kiongozi wa timu ya Waangalizi kutoka Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara SADC akizungumza na waandishi wa habari pamoja na waangalizi mbalimbali wa uchaguzo kutoka jumuiya hiyo katika Hoteli ya kempsky Jijini Dar es Salaam, wakati alipokuwa akitoa ripoti ya awali ya Uchaguzi Mkuu wa urais, wabunge na madiwani wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania uliofanyika Okt 31 mwaka huu nchini Kote, ambapo alisema kuwa uchaguzi huo ulikuwa huru na haki na kuwapongeza wadau wote waliohusika na uchaguzi huo.
Baadhi ya wanajumuiya waliokuwa wakisimamia uchaguzi huo, wakiwa ndani ya hukumbi huo wakati wa mkutano huo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.