Habari za Punde

*USALAMA BARABARANI "INAMAANA HICHO KIBAO CHA NO PARKING HUJAKIONA?"

Askari wa usalama Barabarani akimuhoji dereva wa gari lenye namba T 808 AZV, aliyekuwa ameegesha gari lake katika eneo lisiloruhusiwa mbele ya jengo la IPS Posta Moya jijini Dar es Salaa leo. Katika eneo hilo kuna vibao vilivyochrwa alama za kuzuia kuegesha magari eneo hilo 'No Parking'. lakini madereva wamekuwa wakidharau alama hizo na kuegesha magari bila kufuata alama za usalama barabarani.
Askari hao wakiendelea kumbana dereva huyo ambaye alijaribu kutaka kuwakimbia askari hao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.