Habari za Punde

*AIRTEL YAINGIA MKATABA NA TIMU YA MANCHESTER UNITED KUKUZA VIPAJI VYA SOKA AFRIKA

Meneja Masoko wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Kelvin Twissa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mchana wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikitangaza rasmi kuhusu ushirikiano wa kibiashara na Klabu ya Manchester United ya Uingereza itakayokuwa ikisaidia kuinua vipaji vya Soka vya vijana wa Afrika. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Beatrice Singano.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.