Habari za Punde

*WATANI WA JADI HUWA NAMNA HII, WENYE MAJONZI POLENI

Jamani huu si msiba bali ni Utani wa Jadi. Hawa ni baadhi ya mashabiki wa timu ya Manchester United, wakiwa wamebeba mfano wa jeneza lenye Nembo ya wapinzani wao wa jadi Arsenal, wakiigiza kwenda kuzika, hii ni baada ya Man U kuifunga bao 1-0 katika mchezo wa juzi na kukaa kileleni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.