Habari za Punde

*AIRTEL YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA PILI NA TATU WA BONGO STAR SEARCH

Meneja wa Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzani, Muganyizi Mutta, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikitangaza zawadi ya mshindi wa pili na watatu karika fainali za mashindano ya Bongo Star Search inayofanyika leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production, inayoandaa mashindano hayo, Ritha Poulsen na mmoja wa washiri wa shindano hilo, Mariam Moammed.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.