Habari za Punde

*MO DEWJ AKABIDHI ZAWADI ALIYOAHIDI KWA KILI STARS

Waziri wa Habari, Michezo na Vijana, Emmanuel Nchimbi (kulia) akipokea hundi ya Sh. Milioni 15, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars ‘Operesheni Ushindi’ Mohamed Dewj, kwa ajili ya zawadi ya timu ya Kilimanjaro Stas iliyochukua Kombe la Challenge kwenye mashindano yaliyomalizika hivi karibuni, makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Hoteli ya Goldentulip jijini Dar es Salaam leo jioni. Katikati ni Nahodha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, wakiwa katika hafla hiyo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.