Baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, waliovaa majoho kutoka (kushoto) mhitimu wa Shahada ya Sheria, Abia Richard, mhitimu wa Shahada ya Utawala (Menejimenti Serikali za Mitaa) Juliana Kajery, Mhitimu wa Shahada ya Biashara, Uhasibu na Fedha, Lilian Kagashe na mhitimu wa Shahada ya Uhasibu na Fedha, Jeru Katondo, wakiwa na furaha baada ya kutunukiwa shahada zao katika sherehe za maafali ya 9 ya Chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo Morogoro jana. Kulia ni ndugu wa wahitimu hao, Grace na (kushoto) ni Tina.WAHITIMU WA CHUO NA WATOTO WAO

No comments:
Post a Comment