Habari za Punde

*MDAU WA MUZIKI REMMY ONGALA AZIKWA DAR LEO

Mtoto wa marehemu Remmy Ongala, Kally Ongala, ambaye ni mchezaji wa timu ya Azam ya jijini, akiaga mwili wa baba yake wakati wa shughuli za mazishi kwenye Viwanja vya Biafra Kinondoni Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanafamilia ya marehemu watoto na wajukuu wakiwa katika msiba huo leo, wakiwa na huzuni tele.
Waombolezaji wakiomboleza na kuendesha misa kumuombea marehemu katika shughuli hizo kwenye Viwanja vya Biafra.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.