Habari za Punde

*BENKI YA EXIM YATAMBULISHA ZAWADI ZAKE ZA KIUTENDAJI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Sabetha Mwambenja, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akitoa tathmini ya maendeleo ya benki hiyo kuelekea kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya, ambapo aliweza kutambulisha zawadi za kiutendaji iliyopata benki hiyo hivi karibuni jijini Arusha. Katikati ni Meneja msaidizi wa benki hiyo, Ganesh Kumar na Meneja Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Linda Chiza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.