Habari za Punde

*REDIO ONE YAZINDUA HUDUMA YA KUPATA HABARI KUPITIA SIMU YA MKONONI

Mkurugenzi wa Redio One, Deogratias Rweyunga, akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi za Idara ya Habari Maelezo leo mchana, kuhusu huduma mpya iliyoanzishwa na kituo hicho cha redio ya kupokea habari zinazorushwa na redio hiyo, kupitia simu ya mkononi, zikiwamo habari za Breaking News.Kuliani ni IT manager, F. Leme.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.