Meneja wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bayport, Ngula Cheyo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi za washindi wa Vyuo vikuu waliojishindia zawadi ya kulipiwa ada na kusomeshwa Vyuo Vikuu iliyofanyika Dar es Salaam leo mchana.
Meneja wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bayport, Ngula Cheyo (kushoto) akimkabidhi Laptop mwananfunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Hassan Rajab, ambaye ni mmoja kati ya washindi waliojishindia udhamini wa kusomeshwa vyuo vikuu ikiwa ni sehemu ya huduma zitolewazo na ‘Bayport Financial Services’ inayotoa huduma hiyo kila mwaka. Katikati ni Meneja Mtendaji wa kampuni hiyo nchini, Mica Mavoa (kulia) ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha
No comments:
Post a Comment